MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU

Authors

  • Salama Salem Salama The Open University of Tanzania Author
  • Mohamed Omary Maguo The Open University of Tanzania Author

DOI:

https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020158

Keywords:

Simiotiki, Tamathali za semi na Msimbo

Abstract

Mada ya makala haya ni kuchunguza matumizi ya lugha ya tamathali za semi katika Diwani ya Midulu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Simiotiki yenye misimo ya Kihemenitiki, Kimatukio, Kiseme, Kiishara na Kiutamaduni. Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa kimaelezo. Matokeo ya makala haya yamebaini matumizi ya lugha za tamathali za tashibiha, sitiari, tashihisi, jazanda na lugha isiyokuwa ya tafsida.Ufundi wa kisanaa wa kutumika kwa mbinu hizi za tamathali za semi unamfanya mtafiti kuzielewa vizuri dhamira na maudhui ambayo yamefumbatwa katika mashairi ya Diwani ya Midulu.

Downloads

Published

2026-05-14

Issue

Section

Articles

How to Cite

Salama Salem Salama, & Mohamed Omary Maguo. (2026). MATUMIZI YA LUGHA YA TAMATHALI ZA SEMI KATIKA USHAIRI WA KISWAHILI: MIFANO KUTOKA DIWANI YA MIDULU. Al-Imad Journal of Humanities and Applied Sciences (AJHAS), 2(1), 809-819. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020158

Most read articles by the same author(s)

Similar Articles

101-110 of 114

You may also start an advanced similarity search for this article.