DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI

Authors

  • Hamad Jabir Bashir Department of Linguistics and Literary Studies, the Faculty of Arts and Social Sciences, The Open University Dar es Salaam, Tanzania Author
    • Mohamed Omary Maguo Department of Linguistics and Literary Studies, the Faculty of Arts and Social Sciences, The Open University Dar es Salaam, Tanzania Author

      Keywords:

      Maana za kimaadili, uwakilishi wa wema, diskosi ya kishairi ya Kiswahili, maadili ya kibinadamu, Diwani ya Mashairi ya Saadani ya Saadani Abdu Kandoro

      Abstract

      Makala haya yanahusu kuchunguza dhamira ya binadamu kutenda wema katika diwani ya Mashairi ya Saadani iliyoandikwa na Saadan Abdu Kandoro mwaka 1972. Data za makala haya zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usomaji makini ambapo walisoma kwa makini diwani ya Mashairi ya Saadani kwa kuzingatia lengo la makala na kuweza kupata data za utafiti. Baada ya kukusanya data hizo za utafiti zilichambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo. Makala yanaonesha kwamba katika diwani ya Mashairi ya Saadani kunawasilishwa dhamira ya kutenda wema ambapo binadamu anasisitizwa kutenda wema hata kwa watu ambao wamemfanyia ubaya kupitia mashairi mawili. Hakika huu ni msisitizo adhimu wa kuonesha umuhimu wa dhamira hii katika jamii. 

      Downloads

      Published

      2026-06-16

      Issue

      Section

      Articles

      How to Cite

      Hamad Jabir Bashir, & Mohamed Omary Maguo. (2026). DHAMIRA YA BINADAMU KUTENDA WEMA KATIKA DIWANI YA MASHAIRI YA SAADANI. Al-Imad Journal of Humanities and Applied Sciences (AJHAS), 2(1), 1152-1158. https://al-imadjournal.ly/index.php/ajhas/article/view/143

      Most read articles by the same author(s)