Mtizamo Wa Kijamii Na Kinafsi Katika Wimbo Wa Nitarejea Wa Nasib Abdul

Authors

  • Abdulfattah Faraj Omar PhD student, Open University, Dar es Salaam, Tanzania Author
  • Mohamed Omary Maguo PhD student, Open University, Dar es Salaam, Tanzania Author

DOI:

https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020176

Keywords:

Wimbo wa Nitarejea, Masuala ya Kijamii, Mtazamo wa Kinafsi, Bongo Fleva

Abstract

Mada ya makala haya ni kuchunguza masuala ya kijamii na kinafsi katika nyimbo za Bongo Fleva kwa kutumia data kutoka katika wimbo wa (Nitarejea) wa msanii maarufu Nasib Abdul (Diamond Platnumz). wametumia mbinu ya usomaji makini katika kukusanya data, na kuzichambua kwa kutumia mbinu ya kimaelezo na Nadharia ya Saikolojia Changanuzi inayofungamanishwa na mazingira ya kijamii, kiuchumi, na kihistoria-nafsi, Makala yamebaini kwamba wimbo huu unajumuisha misingi muhimu ya kijamii inayofungamana na uwajibikaji katika kazi, masuala ya kifamilia na uzazi, kukabiliana na ugonjwa na kifo, pamoja na msukumo wa kiimani chini ya shinikizo la hali ngumu ya maisha.

Downloads

Published

2026-06-10

Issue

Section

Articles

How to Cite

Abdulfattah Faraj Omar, & Mohamed Omary Maguo. (2026). Mtizamo Wa Kijamii Na Kinafsi Katika Wimbo Wa Nitarejea Wa Nasib Abdul. Al-Imad Journal of Humanities and Applied Sciences (AJHAS), 2(1), 1083-1087. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020176

Most read articles by the same author(s)

Similar Articles

1-10 of 113

You may also start an advanced similarity search for this article.