USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID

Authors

  • Abdulrahaman Fayz Baheeri The Open University of Tanzania Author
  • Mohamed Omary Maguo The Open University of Tanzania Author

DOI:

https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020155

Keywords:

Usawiri, Kiumbe, Chanya, Nyimbo, dhana

Abstract

Makala haya yanahusu usawiri chanya wa mwanamke katika nyimbo za taarab za Bakari Abeid. Lengo kuu la makala lilikuwa ni kutaka kuchunguza namna mwanamke anavyosawiriwa katika hali chanya katika nyimbo za taarab za msanii maarufu za nyimbo za taarab anayefahamika kwa jina la Bakari Abeid. Makala yalikusanya data kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na kuchambuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo na nadharia ya Ufeministi. Usawiri chanya wa mwanamke katika nyimbo za taarab za Bakari Abeid umejitokeza katika maeneo ya mwanamke kiumbe mwenye umbo zuri, mwanamke kiumbe mwenye msimamo, mwanamke kiumbe mwenye mapenzi ya kweli na mwanamke ni mtunza siri.

Downloads

Published

2026-05-13

Issue

Section

Articles

How to Cite

Abdulrahaman Fayz Baheeri, & Mohamed Omary Maguo. (2026). USAWIRI CHANYA WA MWANAMKE KATIKA NYIMBO TEULE ZA TAARAB ZA BAKARI ABEID. Al-Imad Journal of Humanities and Applied Sciences (AJHAS), 2(1), 767-774. https://doi.org/10.64943/ajhas.2026.020155

Most read articles by the same author(s)

Similar Articles

You may also start an advanced similarity search for this article.